Korpus: swa_wikipedia_2016_100K

Weitere Korpora

2.5.11 Distribution of Letter K in Sentences

Number of sentences containing a fixed number of occurrences of the specified character


Gnuplot diagram

# of occurrences # of sentences Sample sentence
0 2168 10 Julai 1981 na Walt Disney Productions.
1 5494 0, mashimo ya kawaida.
2 8578 10 Oktoba 1911 yalianza mapinduzi ya China kwa uasi wa jeshi la Wuchang.
3 12848 10 Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka?
4 12246 11 Kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba.
5 10640 11 Ni Onesimo yuleyule ambaye wakati mmoja alikuwa hakufai kitu, lakini sasa ananifaa mimi na wewe pia.
6 12131 10. Safiyya binti Huyay (tangu Septemba 628) ambaye alikuwa Myahudi akatekwa nyara katika vita vya Khybar.
7 8181 10 Agosti 1979 kupitia studio ya Epic Records, baada ya Jackson kupata sifa kemkem pale alipoimba katika filamu ya The Wiz.
8 6935 1886 alifungua kliniki yake ya binafsi akawa pia daktari kiongozi wa idara ya magonjwa wa neva na akili kwenye hospitali ya watoto ya Vienna.
9 5782 13 Agosti 1521 Cuauhtémoc mfalme wa mwisho wa milki ya Azteki alikamatwa alipojaribu kukimbia mji mkuu na hii ilikuwa mwisho wa milki yake.
10 4268 11. Maymuna binti Harith (tangu Februari 629) aliyekuwa na umri wa miaka 51. Kati yao, wa kwanza tu alimzalia Muhammad watoto, lakini wana wote walifariki kabla ya baba yao, isipokuwa Fatma aliyekufa miezi sita baada yake.
11 3125 10 Basi, ninalo ombi moja kwako kuhusu mwanangu Onesimo, ambaye ni mwanangu katika Kristo kwani nimekuwa baba yake nikiwa kifungoni.
12 2251 16 Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza.
13 1774 13 Oktoba 1961, a Postcard ilikuwa imeandikwa kwa kujitolea aitwaye Margery Jane Michelmore nchini Nigeria kwa rafiki katika Marekani Alielezea hali yake nchini Nigeria kama "primitive kabisa squalor na hali ya maisha."
14 1210 15 Kwa kuwa twawaambieni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai, tutakaosalia hata wakati wa kuja kwake Bwana(unyakuo), hakika hatutawatangulia wao waliokwisha kulala mauti.
15 838 1827 – 1829 alijiunga na kozi ya kuandaa wamisionari huko Basel lakini hakupendezwa na maisha ya pamoja; akishikwa na wasiwasi kuhusu wito wake akarudi nyumbani na kuingia masomo ya teolojia katika Chuo Kikuu cha Tübingen.
16 584 1898 alipita mtihani akawa mwalimu wa serikali wakati alipoendelea kusoma jioni na kutimiza kiwango cha B.A. Kwa muda aliendelea kama mtumishi wa serikali hadi kujipattia maisha kutokana na vitabu vyake lakini alibaki mtu maskini maisha yote.
17 358 23 Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, 24 iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi ukatoe sadaka yako.
18 252 Aina mbalimbali za chokoleti Mbegu za kakao ni chanzo cha chokoleti Chokoleti hupokea kila umbo: Picha ya Yesu kwenye chokoleti Chokoleti ni pipi au chakula kitamu kinachotengezewa kwa kutumia kakao, sukari na mafuta.
19 144 Akiwa pekee yake,Tedesco alirekodi albamu kadhaa katika mtindo wa kucheza jazz gitaa lakini kazi yake ya kimuziki iliisha alipopata shtuko la moyo liliomfanya kufa ganzi katika sehemu kadhaa za mwili yake.
20 87 Alipokea tuzo la MNET (Afrika ya Kusini) kwa kuwa muimbaji wa kiume maarufu katika Februari 2001, na alikuwa mmoja wa Wakenya wa kwanza kupokea tuzo la msanii bora katika Afrika Mashariki kutoka Kora All Africa Music Awards tarehe 2 Novemba 2002.
21 49 Aliachiwa huru baada ya kuonekana baadhi ya kumbukumbu zake katika kijitabu chake binafsi kilichokuwa kikielezea kupinga maangamizi ya Uyahudi katika kitengo chake, na akajaribu kuwazuia wahusika wa matendo hayo.
22 34 Akaendelea kutolewa katika kurasa ya mwanzo katika magazeti chungu mzima na baadaye Henstridge akaelekea zake katika mishughuliko ya kiabishara katika televisheni na akafanikiwa kutoka katika Olay, Old Spice, na Lady Stetson.
23 11 Albamu hii ilishikilia rekodi ya kuwa single iliyowahi kukaa katika nafasi ya kwanza kwa kipindi kirefu zaidi katika chati ya nchini Marekani, ya Billboard Hot 100 kwa kufanikiwa kukaa kwa takribani wiki kumi na sita.
24 7 Hazard–Dondi, Legal Ethics, 22–23 Baada ya kupata kukubalika, wakili mara nyingi atafanya kazi katika kampuni ya sheria, katika vyumba kama wakili wa kipekee, katika wadhifa wa kiserikali au katika shirika la kibinafsi kama mshauri wa ndani.
26 2 Kufuatia kuenea kwa ugonjwa wa upofu kwa kasi katika nchi hiyo ya kufikirika, kulisababisha machafuko ya kijamii kutokana na kupelekea kukosekana kwa chakula kulikosababishwa na watu wengi kushindwa kuona.
27 1 Hatuwezi kujua kwa uhakika tukiona jiwe la aina hii kama kama ilikuwa tokeo la mgongano wa mawe katika mkondo wa maji mtoni au kutokana na kuanguka kwa jiwe kutoka mlimani au kama jiwe limepigwa kwa kusudi kwa jiwe lingine kwa shabaha ya kupata kona kali.
28 1 Kaka'ke, Iké (Hakeem Kae-Kazim) amesikia kifo cha mdogo wake na kupanga njama za kulipiza kisasi, wakati Jack na Benton wanaondoka zao na kuelekea katika ubalozi wa Marekani huko katika mji mkuu kabla helikopta ya mwisho haija ondoka nchini.
31 1 Albamu hii, iliweza kuuza zaidi katika wiki yake ya kumi na nne na kumi na tano tangu itoke kuliko katika kiki yake ya kwanza, kwa kufanikiwa kuuza nakala 283,000 katika wiki yake kumi na nne wakati ikishika nafasi ya nane katika chati hiyo.
1343 msec needed at 2018-01-22 15:13